NOVEMBA 20 mwaka huu Rais wa Jamhuri ya muugano wa Tanzania John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi Mamlaka ya Mapato TRA Bernard Mchomvu bodi ya ambapo aliacha maswali mengi sana leo ametegea kitandawali hicho
Rais Magufuli ameeleza sababu za kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kuwa ilitokana na bodi hiyo kuidhinisha mamlaka hiyo kuweka mabilioni ya fedha kwenye benki binafsi.
Akizungumza leo wakati wa sherehe za mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani, Rais Magufuli amesema kuwa TRA walichukuwa fedha mabilioni na kuweka fixed account benki 8 binafsi na bodi ikaidhinisha.
Rais John Magufuli ameeleza sababu za kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kuwa ilitokana na bodi hiyo kuidhinisha mamlaka hiyo kuweka mabilioni ya fedha kwenye benki binafsi.
0 comments:
Post a Comment