LIVE
HARD TALK:- ...."One of the best day of my life nilipomkabidhi Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu kitabu
nilichokiandika mwenyewe kwa Mkono na Akili zangu chenye Kurasa 360
kuhusu.... MCHANGO WA SOCIAL MEDIA KATIKA USHINDI WA RAIS NA CCM KWENYE
UCHAGUZI WA 2015..
...I mean it was my dream coming true ....na
ninakumbuka Furaha ya Baba yangu siku nilipompa Copy ya
kitabu changu SITASAHAU ILE SIKU HOW HAPPY MY DAD WAS ....aliniambia
"WILLIAM MWANANGU HII NDIO MAANA YA AKILI KUBWA".....akili kubwa sio
utajiri wa pesa bali ni utajiri wa Akili kwanza ....
.hatukuzaliwa na
Akili kubwazzz ila tunazitafuta wenyewe as we progress in life .....Guys
ogopa mtu mjinga cause automatically mjinga huwa ni mvivu wa kafanya
kazi mpaka kufikiri ....always kumbuka ni rahisi kwa mjinga kukufanya
mwenye akili uwe mjinga kama yeye ...lakini ni vigumu sana kwa mwenye
akili kumfanya mjinga kuwa na akili ...
.again namuogopa sana binadam
yoyote mjinga cause tatizo lake ni Mvivu wa kila kitu kuanzia kufikiri
mpaka kufanya kazi ni hopeless wanakuwaga na maneno mengi kuficha ujinga
wao ni simply mjinga tu stay away from any mjinga ....
.hata Biblia
inasema usimrekebishe mjinga cause atakugeuzia ujinga wake na wewe
utaishia kuwa mjinga....guys usimchezee nguruwe kwenye matope cause
atakuchafua na matope halafu atakushinda tu cause maisha yake ni matope
so is mjinga maisha yake ni ujinga tu! ......again I thank U my God for
everything in my humble little life! .....Good Nite Guys!" - le Mutuz
Nation
— at City Centre Dareslaam.


0 comments:
Post a Comment