![]() |
| MASANJA MKANDAMIZAJI AKIWA NA MKEWE |
AMA kweli mapenzi ni uchizi. usemi huu ameutimiza Msanii wa vichekesho nchini Masanja Mkandamizaji kwenye kurasa yake ya mtandao wa kijamii wa facebook.
Post hiyo imezua mijadala kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na kauli hiyo.
Posti hiyo imetafsiriwa kuwa masanja makandamizaji hasikii haoni mbele ya mke wake ambaye anaonekana kumpenda kupitiliza

0 comments:
Post a Comment