DAR:
Mahakama ya Kinondoni leo imemkuta na hatia Mwanamuziki wa muziki wa
kizazi kipya Judith Wambura(Lady JayDee ) kwa kosa la kumkashifu Bwana
Ruge Mutahaba.
- Mahakama hiyo imemtaka mwanamuziki huyo kuomba radhi kwa kutenda kosa hilo.
- Mahakama hiyo imemtaka mwanamuziki huyo kuomba radhi kwa kutenda kosa hilo.

0 comments:
Post a Comment