![]() |
| MWEYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE |
Na Sosi
KIONGOZI wa kambi ya upinzania bungeni Freeman Mbowe amesema
kuwa Samuel Sitta alikuwa mtu ambaye
hana ubaguzi kwa wapinzani na
vyama vya upinzani.
Mbowe amesema kuwa Sitta alikuwa kiongo kati ya bunge na serikali
, ambaye alisimamia mamlaka ya bunge kulisimamia
serikali.
Amesema kuwa aliwapa fursa ya kuwasikiliza ambapo alisimama
upande wa haki, kipindi ambacho serikali ilikiwa sahihi alitetea na wakiwa
haipo sahihi alikosoa.
“leo ni siku ambayo mwenyezi mungu ametupa muda wa kutafakari
, lakini hatumpambi mzee Sitta kwa
sababu ya taratibu za msiba ila mzee sitta amestahili sifa hizo.

0 comments:
Post a Comment