MWILI WA MAREHEMU SITTA UKIWASILI NYUMBANI KWAKE
Na Sosy
NI majonzi na simanzi zimetawala kwenye nyumba ya aliyekuwa Spika wa bunge marehemu Samuel Sitta wakati mwili ukiwasili nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam kutoka nchini Ujerumani mauti yalipomkuta.
Majira ya saa 11 alasiri jeneza lililobeba mwili wa
marehemu liliwasili nyumbani kwa
marehemu hoyo Blog ya wananchi ilikuwepo
 |
| MTOTO WA MAREMU SITTA, MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI BENJAMIN SITTA AKIWA AMEBEBA MSARABA |
 |
MKE WA SAMUEL SITTA AKIWA KATIKA HALI YA MAJONZI
|
 |
| SPIKA MSTAAFU WA BUNGE LA JAMHURI WA MUUNGANI WA TANZANIA PIUS MSEKWA AKITIA SAINI KWENYE KITABU CHA WAOMBEREZAJI |
 |
| WASIRI WA AFYA , MAENDELEO YA JAMII , JINSIA WAZEE NA WATOTO AKIWA NA WAOMBELEZAJI WENGINE |
 |
MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA AKIZUMZA KITU NA WAMBELEZAJI WENGINE
Paul Makonda Mkuu wa Mkoa kijana kuliko wote nchi ambaye hawezi kumsahu Marehemu Sitta kutokana na kuwa mlezi wake na kumsadia masomo yake . sitta amefanya juhudi kubwa za na kutambua umuhimu wa elimu ya makonda ambaye kwa sasa amekuwa kijana mwenye tija kubwa kwa taifa. |
 |
| PROFESSA IBRAHIM LIPUMBA MWENYEKITI WA CUF AKIWA MSIBANI |
 |
MMILIKI WA BLOG YA WANANCHI , NA MKURUGENZI WA AFRIKA SWAHILI TV AKIWA MC KATIKA MSIBA HUO
|
0 comments:
Post a Comment