Ziara ya Naibu Waziri wa ujenzi , mawasiliano na uchukuzi mkoani Mbeya
Naibu Waziri Eng Edwin Ngonyani amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kusimamia kwa Karibu utengenezaji wa meli 2 za mizigo Bandari YA Itungi na ujenzi wa hatua YA mwisho uwanja wa Ndege Songwe


0 comments:
Post a Comment