Posted by Williammalecela.com on Sunday, November 20, 2016
Na Sosy
RAIS John Magufuli amtembelea kumjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigella ambaye alilazwa katika Hospital ya Muhimbili katika Wodi ya Sewahaji tangu siku ya Juma tano ya wiki iliyoisha.
0 comments:
Post a Comment