Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 05, 2016
Leo Rais Magufuli amesema ajira zilisitishwa kwa muda muda mfupi na sasa zilishafunguliwa na serikali imeajiri watu 5000 hadi sasa katika vyombo mbalimbali.Kama umekaa unasubiri ajira zifunguliwe serikalini,basi ndo ujue zilifunguliwa miezi miwili tu tangu zifungiwe.
0 comments:
Post a Comment