Posted by Williammalecela.com on Tuesday, November 08, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kufuatia ajali iliyosabaisha vifo vya watu 18 iliyotokea Novemba 6 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment