"Leo
nimepata bahati ya kukutana na Rais Mstaafu wa awamu ya 3 Tanzania Mzee
Benjamin Mkapa. Kama kijana niliepata bahati kutumikia nchi yangu , leo
nimevuna mengi toka kwa Mzee Mkapa. Wazee ni hazina yetu na hatuna
budi kuchota busara zao kila tukutanapo nao."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment