![]() |
MENEJA WA KUNDI LA MKUBWA NA WANAWE SAIDI FELLA AKIMKABIDHI GARI ASLAY MSAANI WA YAMOTO BAND
|
MKURUGENI na meneja wa kundi la muziki wa kizazi kpya
bongo Flava Said Fella anasema kuwa yeye hawezi kukuatishwa na tamaa na watu
wenye nia ovu ya kumtaka akate tamaa kuwasaiidi vijana wenye vipaji kukuza na
vipaji vyao na kuboresha maisha yao, hivyo yeye ni mti wenye matunda hashangaii kupigwa majungu.
Fella akizungumza na BLOG YA WANANCHI
leo kwa njia ya simu amesema kuwa anashangazwa na tabian ya binaadamu kwa
kutaka kueneza majungu na kuzusha uongo wa kumchafua yeye licha ya kuwasaidi
vijana wenye vipaji wasiopungua 102.
Fella amesema kuwa anawasaidi vijana hao
kwa nia ya dhati kutokana nay eye mwenyewe kuwa miongoni mwa watu waliosaidiwa
na watu asiowajua.
“Dhamira yangu mimi ni kuywasaidia watu
kutokana na mimi mwenyewe niliwahi kusaidiwa na watu wasionijua”amesema Fella.
Fella ambaye ni Diwani wa kata ya
Kilungule Mbagala jijini Dar es Salaam,
amesema kuwa amekuwa mtu pekee aliyewahi kuwasidia wasanii kwa kuwajenge nyumba
licha ya kuywajengea vijana wa Yamoto Band alimjengea Msanii wa Mkongwe wa
Bongo Flava Juma Nature aliyehama kwenye usimamizi wake, Pamoja na Chege na
Temba
Amesema kuwa watu amabao wanania mbaya
naye hawana nia mzuri na vijana hao kwani hakuna mtu yoyote atakaye weza
kuwajengea nyumba wasanii na kujali maisha yao kama sio yeye.
“Pale nipo na Vijana 102 nani ambaye
aliwahi kuja kuleta hata kilo ya unga, hata hivyo vijana hawa wanapitia mambo
mengi sana hadi kuwa na majina lakini mimi ndio nawapigania vijana hawa ambao
nawalea kwa kipindi cha miaka sita hadi mine.

0 comments:
Post a Comment