Shilole
amempongeza Nuh Mziwanda kwa kuongeza idadi ya wasanii walioukimbia
ukapera baada ya kufunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake Nawal.Kupitia
mtandao wa Instagram, Shilole ameandika ujumbe unaosomeka, “Hongera Nuh
Mwenyezi Mungu awatie baraka tele kwenye ndoa yenu.”Hitmaker huyo
ameungana na mastaa wengine waliofunga ndoa mwaka huu akiwemo Mwana FA,
Shamsa Ford, Nyandu Tozzy, Tunda Man, Mabeste na wengine.Nuh na Shilole
waliwahi kuwa wapenzi kwa muda mrefu lakini mwishoni mwa mwaka jana
waliachana huku kila mmoja akianzisha mahusiano mapya.MFriday, November 11, 2016
Shilole
amempongeza Nuh Mziwanda kwa kuongeza idadi ya wasanii walioukimbia
ukapera baada ya kufunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake Nawal.Kupitia
mtandao wa Instagram, Shilole ameandika ujumbe unaosomeka, “Hongera Nuh
Mwenyezi Mungu awatie baraka tele kwenye ndoa yenu.”Hitmaker huyo
ameungana na mastaa wengine waliofunga ndoa mwaka huu akiwemo Mwana FA,
Shamsa Ford, Nyandu Tozzy, Tunda Man, Mabeste na wengine.Nuh na Shilole
waliwahi kuwa wapenzi kwa muda mrefu lakini mwishoni mwa mwaka jana
waliachana huku kila mmoja akianzisha mahusiano mapya.M
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment