Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 12, 2016
Diamond platnumz amesema kuwa yupo anajichanganya na wanawake wengi sana, anawindwa sana na wanawake na yeye akiamua kuwinda hakosi yoyote
Na pia amejifananisha yeye na simba na wanawake ni swala na kusema Simba akipita kwenye kundi
la swala haachi kula angalau mmoja
MSIKILIZE HAPA:
0 comments:
Post a Comment