Wachezaji wa kikosi cha timu ya soka cha Taifa, Taifa Stars Mbwana Sammata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakijadiliana jamabo wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Taifa Zimbabwe, Harare jana.
Kocha Mkuu wa Stars, Charles Bonoifas Mkwasa ( kushoto ) akiwapa maelekezo wasaidizi wake
0 comments:
Post a Comment