Posted by Williammalecela.com on Tuesday, November 08, 2016
|
 |
| KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI AKIFUNGUA JIWE LA MSINGI LA KIWANDA KIPYA CHA VIFUNIKO WILAYANIN KIBAHA MKOA WA PWANI |
NA Sosy
TANZANIA ya viwanda anayoitaka Rais John Magufuli imeenza
kumea ambapo leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda , Biashara na Uwekezaji Dkt
Dkt. Adelhelm Meru amefungua jiwe la
msingi katika kiwanda cha vifungashio kilichopo Kibaha Mkoani Pwani.
Hiyo ni dalili njema na sio ya kubeza tayari tulichoahidi
Rais Magufuli kinaanza kufaniwa kazi.
Wachambuzi wa Masuala ya uchumi nchini wametabiri kuwa Tanzania
ikiwekeza kwenye viwanda uchumi utakuwa haraka ambapo itapelekea nchi kuwa
tajiri yenye uchumi nzuri.
 |
| KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA UWEKEZAJI NA BIASHARA AKIZUNGUMZA BAADA YA UFUNGUZI WA JIWE LA KIWANDA KIPYA |
Leo katika uzinduzi huo Dkt Meru amesema kuwa mpango wa
kukuza uchumi wa nchi unategemea viwanda hivyo wakuu wa mikio na wilaya
wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa ushirikiano na wawekezaji pamoja na
serikali kwa kutenga maeneo kwa ajili ya uwekezaji.
Dkt Meru amesema
kuwa viwanda vitaongeza pato la taifa kwa asilimia 15 na kuongeza kuwa ajira
zitaongezeka kwa asilimia 40 hadi kufikia mwaka 2020.
Mtendaji mkuu wa shirika la Maendeleo la taifa (NDC)
Mlingi Mkucha ameahidi kuwa shirika hilo litaendelea kutoa ushiirikiano kwa
wawekezaji ili kufikia malengo ya serikali ya awamu ya tano ya kufikia katia
uchumi wakati kupita viwanda.
Mkucha ameongeza kuwa wilaya ya kibaha inaeneo la hekari
330 za kuwekeza kwenye viwanda mbalimbali pamoja na viwanda vya kuunganisha
magari, viwanda vya madawa ya binaadamu pamoja na nguo ambazo
|
0 comments:
Post a Comment