Siku ya kuzaliwa ni siku special kwa kila mtu aliye kuwepo hapa duniani, na kila mtu hupenda kufanya vile alivyopanga ifikapo siku hiyo (ya kuzaliwa).
Siku hii huwa inakuwa tofauti kwa mastaa wetu hapa Bongo kwa sababu wengi wao huwa hawapendi kuiigana sana kimatukio ndani ya siku hiyo na hiyo hupelekea kuwa na matukio tofauti tofauti kwenye siku zao za kuzaliwa.
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Alikiba. Na kusherehekea siku hiyo muhimu kwake, muimbaji huyo mahiri alitumia private jet kwenda na timu yake ya Rockstar4000 akiwemo Barakah Da Prince kwenda mbugani. Chini ni picha alizoweka kwenye Instagram.
0 comments:
Post a Comment