Kampuni ya
Simon Group inayomiliki mabasi ya UDA na mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa
ubia na Serikali imekanusha vikali madai ya Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kuwa
kampuni hiyo iliuzwa kwake kinyemela.
Msemaji wa
SGL, Deus Bugaywa alisema madai hayo siyo ya kweli,
Akichangia
hoja hivi karibuni bungeni Dodoma, Mdee alisema kampuni ya UDA haikuuzwa
kihalali kwa Simon Group Ltd, Waziri husika hakuridhia kihalali uamuzi wa
Baraza la Jiji, hivyo UDART iliuzwa kinyemela na SGL ilitumia rasilimali za UDA
kupata mkopo wa kuendesha Udart
chanzo hivi sasa

0 comments:
Post a Comment