UTABIRI uliofanywa na Mchungaji mashughuli Afrika TB Joshua umekwenda
tofauti na matokeo ya uchaguzi nchi Marekani.
Tb Joshua alitabiri kuwa Hillary Clinton wa Chama cha
Demokrati atamshinda mpinzania wake Dolnard Trump wa Republican.
Mchungaji huyo aliwakutabiri uchaguzi wa mkuu wa Tanzania
ulifanyika Mwaka Jana kuwa Mgombea wa Chadema Edward Lowassa atashinda uchaguzi
mkuu lakini imekuwa tofauti kutokana na kushindwa kwa mgombea huyo.
Kitendo hiki kinaweza kumondolea uaminifu na kwa watu
wanaomuani akitabiri tofauti jambao amabalo linaweza kumtia doa kumuondolea
uamnifu wake.

0 comments:
Post a Comment