Sawa na wahubiri wengine nchini Nigeria, TB Joshua ni tajiri na mwenye ushawishi mkubwa.Watu kutoka sehemu mbali mbali za dunia husafire hadi kanisa lake nchni Nigeria kutibiwa na kushuhudia unabi wake.Wakati ugonjwa wa Ebola ulikumba eneo la magharibi mwa Afrika, mamlaka ya mji wa Lagos ilitangaza kuwa hakuna mgonjwa wa ugonjwa wa ebola angepelekwa kanisani humo kuponywa. Hii ilikuwa ni hatua ya kuzuia maambukizi
TB Joshiua ni mmoja wa wahubiri matajiri zaidi nchini Nigeria
Baada ya kifo cha Michael Jackson, mhubiri huyo alidai kuwa hilo ni suala ambalo alikuwa amelizungumzia miezi sita kabla.
Wakosoaji wake wameutaja utabiri wake kuwa uongo. Hata hivyo hilo halijawazuia wafuasi wake kufurika kanisani mwake kutafuta mwelekeo.

0 comments:
Post a Comment