Posted by Williammalecela.com on Sunday, November 06, 2016
Nakukutanisha na mbunge wa jimbo la Nzega mjini (CCM) Hussein Bashe ambaye alipata nafasi ya kusimama bungeni kuwasilisha maoni yake kuhusu muswada wa habari uliowasilishwa na Wizara ya habari, utamaduni na michezo chini ya waziri wake Nape Nnauye, mtazame Bashe kwenye hii video hapa chini
0 comments:
Post a Comment