
Weekend hii katika mitandao ya
kijamii kumesambaa video inayomuonyesha malkia wa filamu nchini Wema Sepetu
akiliwa denda na model Calisah, imeweza kumsababishia Calisah matatizo.
Calisah amesema hayo alipokuwa akizungumza na Bongo5 juma tatu hii amedai kuwa video hiyo imemsababishia matatizo katika
familia yake pamoja na kumpoteza bibi yake kwa presha
Calisah amesema hajui ni nani ambaye
amesambaza video hiyo mtandaoni kwani walikuwa nayo yeye pamoja na Wema.
“Nilikuwa nachati na Wema kawaida ghafla nikaona notification, kufungua ndio
nikakuta hiyo video na mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumuuliza Wema kwa
sababu video nilikuwa nayo mimi na Wema,” alisema Calisah.
0 comments:
Post a Comment