Tuesday, November 22, 2016

MKUU mkoa wa Dar es Salaam amewataja watu ambao huenda kwa namna moja au nyengine watamchua  na yeye.


 maadui hao ni mashoga, wala rushwa, watendaji wazembe , wauza shisha na watu ambao wanaenda kinyeme na haki.
hata makonda ameweka wazi kuwa hawezi kuwavumilia wafanyaazi mizigo na kwaba kuna utaratibu utakowaondoa watumishi mizigo  

0 comments:

Post a Comment