Mpaka sasa Tunda hajatoa tamko lolote juu ya kinachoendelea mitandaoni ukizingatia ndio kwanza wametoka kurudiana juzi juzi.
Story za kuwepo kwa mahusiano kati ya Amber na Young D ziliwahi kuvuma ingawa wawili hao wanasema walikua marafiki tu ingawa walikua wakishiriki mapenzi.
Amber Lulu amewahi kunukuliwa kwenye you heard ya Soudy Brown kwamba yeye na Young D ni washkaji wamesaidiana mambo mengi lakini wamekua wakishiriki mapenzi.
Tusubiri tuone utekelezaji wa Amber katika kumlea Tammal kama alivyoeleza kwenye ukurasa wake wa instagram


0 comments:
Post a Comment