Blog ya Wananchi leo imeamua kukuonyesha jinsi gani movies zinavyoweza kueditiwa kabla kabla ya kuletwa kwetu kwa ajili ya kuzitazama ambapo mambo yanakuwa tofauti
picha ya juu ndio ya kweli hiyo ya chini ndiyo tunayoijua sisi kwa sababu ndio tuliyoiona lakini hapo kabla ya kuediti picha hizo.
kwenye picha hiyo huo moto unaonekana sio wa kweli mabpo picha ya juu inaonyesha uhalisia wa picha hiyo





0 comments:
Post a Comment