'Human
branding' ambayo inajulikana pia kama 'scarification',ndo kitu
kinachoongoza sasa hivi kwenye sanaa ya kujichora mwilini na mbritish
mwenye tatoo nyingi kuliko wote hakutaka kuachwa nyuma na style hiyo
mpya. Matthew
Whelan,33, kutoka Birmingham hajajifunika mwili wake
kutoka kichwani hadi vidole vya miguuni tu na sanaa ya ngozi bali hadi jicho lake moja jeupe kalitatoo na kuwa jeusi. Hicho kifaa kilichotumika kumtatoo kinatumia nguvu ya umeme kuunguza kwenye nyama na ndo kifaa hicho hicho kinatumika na madaktari wa meno au surgeons kuunguza seli za kansa. Angalia picha chini:

Lest Westwood, mchora tatoo aliyemchora alisema
"Huwa inanukisha studio yotemwili wake unapoungua na kuna hatari pia
ambazo zinaambatana na kujitatoo hivi, mwili unaweza ukapata shock".
Mr
Whelan alikua na miaka 9 tu alipoanza kutamani sana tatoo. Tangia hapo
alitumia masaa 300 kwenye kiti cha wachora tatoo na alitumia zaidi ya
euro 20,000 kujipamba mwili wake. Designs zake zilitoka kwenye maumbo ya
nyoka,ng'e(scorpions) na mavampire hadi jina la TV program anayoipenda
sana‘The Jeremy Kyle Show’ alijitatoo nayo kwenye kisogo chake.
Hapo
hapo, Whelan ambaye amebadilisha jina lake kisheria na kujiita 'His
Royal Majesty Body Art,King of Ink Land' alisema anapenda kujifikiria
kuwa yeye ni kipande cha sanaa kinachopumua na kuishi....

0 comments:
Post a Comment