Friday, December 2, 2016

Tokeo la picha la baraka da prince
NYOTA wa miondoko ya Bongo Flavour Baracka Da Prince achukizwa na kitendo kilichofanywa na msanii wa maigizo ya vichekecho  nchini Kenya Erick Emond kwa alichodai kuwa ameikashifu dini ya kikrosto.

Omond aligiiza kama Yesu akiwa kwenye msalaba akisurubiwa ilhali akiwa kama kituko kitendo hicho kimewauzi waamuni wengi wa dini hiyo 

0 comments:

Post a Comment