![]() |
| Mbunge wa Chadema Lema baada ya kurudishwa tena Rumande na mahakama mpaka kesi yake itakapotajwa tena Tarehe 14/12/2016. |
Uamuzi kuhusu dhamana ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema utatolewa tarehe 14.12.2016.
#Arusha_Update : Mh Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amerudishwa Rumande hadi Tarehe 14 Desember 2016 ambapo mahakama itatoa maamuzi ya Rufaa iliyosomwa leo mbele ya Jaji Dr Opio.

0 comments:
Post a Comment