Thursday, December 8, 2016

December hii tulikuwa tunasubiri kumuona Mtoto wa Pili wa Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady ambaye alitarajiwa kuwa Mtoto wa Kiume a.k.a Prince ili aungane na Tiffah a.k.a Princess na Familia izidi kuwa Kubwa.Hatimaye Imeonyesha wazi kwamba Zari amejifungua tayari baada ya jana Kupelekwa Hospitali iitwayo kwa ajili ya Kujifungua.Diamond ameshut baadhi ya matukio mpaka kuthibitisha kwamba Tayari amefanikiwa kumpata
mtoto wa pili salama. 
 

0 comments:

Post a Comment