Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 27, 2016
Shilole ni mwigizaji/msanii wa bongofleva ambaye alitangaza wazi kutafuta Mwalimu wa Kiingereza sababu anatamani siku moja awe mzungumzaji mzuri wa lugha hiyo, pamoja na kupenda kujifunza huwa haoni noma pia kukizungumza kilekile kinachomtoka, tazama kwenye hii video hapa chini
0 comments:
Post a Comment