Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 29, 2016
Ni msanii wa bongofleva Shilole ambaye December 27 2016 alikwenda na mpenzi wake mpya na kuhojiwa kwenye Radio Show ya Ala za Roho CloudsFM inayofanywa na Diva, kwenye hii video hapa chini aliulizwa maswali kuanzia walivyoanza na mengine.
0 comments:
Post a Comment