Takriban mwezi umepita sasa tangu zianze kuvuma tetesi zinazomuhusisha rapper wa kike Tanzania Chemical zikidai kuwa mrembo huyo bado hajamjua mwanaume {Bikra}.
Mengi yameongelewa, comments zimetolewa kuhusiana na jambo hilo ila leo Perfect255 imemkamata mrembo huyo kwenye exclusive interview na kupiga nae story kibao moja wapo likiwa ni jambo hilo.
Uthibitisho wa ukweli kuhusiana na jambo hilo umetoka kwa Chemical mwenyewe na kufunguka mengi ikiwemo sifa za mwanaume ambaye anatarajia kuja kumtunuku bikra hiyo.
“Kwanza aniheshimu, nikiwa nae kwanza nimjue kwa muda mrefu, asiniigizie, anipende kama nilivyo, aniheshimu na anipende kweli.” hizo nibaadhi tu ya sifa ambazo Chemical amefunguka kuwa awenazo mwanaume ambaye atafikiria kumtunuku bikra yake.
Sasa utamu wote nimekuwekea hapa chini kwenye video hii. Unaweza kuplay ili kumsikiliza Chemicalakifunguka mwanzo hadi mwisho.
0 comments:
Post a Comment