Tukiwa tunajiandaa kuumaliza Mwaka 2016, najua huu ni mwaka ambao umebeba mambo mengi kwenye tasnia ya burudani, umebeba furaha, huzuni, mahusiano mapya na ishu nyingine ni mionekano mipya kwa wasanii.
Rapper Desiigner ameingia kwenye listi ya wasanii ambao wamebadilisha mionekano yao ya nywele, staili ya Desiigner ni kama panki flani hivi, Sasa kupitia kurasa za kwenye mitandao ya Kijamii, Desiigner amewashangaza mashabiki zake kwa staili yake mpya ya Nywele jinsi alivyoitengeneza.
0 comments:
Post a Comment