Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 06, 2016
Pretoria,
Afrika Kusini: BAADA ya taarifa kusambaa kwenye social media kuwa
msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” leo
leo Desemba 6, 2016, mpenzi wake Zarina Hassan “Zari The Boss Lady”
amejifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Netcare iliyopo mjini
Pretoria nchini Afrika Kusini.
0 comments:
Post a Comment