Ipakue Feel Good hapa:
Feel Good ni moja ya mawe yaliyomo ndani ya albamu yao mpya Above In A Minute (AIM) ambayo itaanza kupatikana kuanzia Disemba.
Wildad ni msanii kutoka ‘The Industry’ lebo ambayo iko chini ya kundi la Navy Kenzo hivi karibuni amekuja kwa kasi na kusumbua na ngoma yake ya ‘Get it On’
Unaweza kuitazama pia video ya Feel Good hapo chini.
0 comments:
Post a Comment