Producer Man Walter amefanya marekebisho makubwa ya studio yake Combination Sounds pamoja na kupata muonekano mpya na wakuvutia.
Mtayarishaji huyo ambaye amefanya hits nyingi kwenye muziki wa bongofleva, amesema kwa sasa studio hiyo ipo tayari kwa kazi baada ya kuifunga kwa muda kwajili ya marekebisho.
“Kwa sasa studio ipo tayari kwa ajili ya kazi karibuni.,” aliandika Instagram Man Walter baada ya kukamilika kwa ukarabati wa studio hiyo.
0 comments:
Post a Comment