Sunday, December 11, 2016

Ile Suprise ambayo ilikuwa ikisubiliwa kwa hamu kubwa hapa Escape One kwenye After  Skul Bash, ni Rich Mavoko kutoka WCB.

Mavoko kafanya show ya kibabe, na show yake hiyo imekuwa moja kati ya show zilizopata shangwe nyingi zaidi.

0 comments:

Post a Comment