Saturday, December 31, 2016

Dereva wazamani wa mbio za F1 au Langalanga, Michael Schumacher baada ya kukaa kitandani kwa miaka mitatu akiwa mgonjwa hivi sasa amepata nafuu na anaendelea vizuri.
Taarifa zimetoka kuwa matibabu pekee ya Schumacher kwa muda wa miaka mitatu, yamegharimu kiasi cha paundi milioni 14 (zaidi ya Sh bilioni 3.6) za kitanzania.
Schumacher ambaye ni raia wa Ujerumani alianguka akiteleza kwenye barafu nchini Uswiss wakati wa kipindi cha baridi.
Schumacher ambaye alitawala kwa muda mwingi katika mashindano hayo ya mbio za magari ya F1.

0 comments:

Post a Comment