Wasanii wa Uganda wanafahamika kwa utajiri mkubwa walionao ambao mara nyingi hupatikana kwa show za ndani zisizokauka.
Eddy Kenzo si msanii wa siku nyingi nchini humo lakini amefanikiwa si tu kuwa na mafanikio makubwa kuzidi wakongwe ikiwemo kushinda tuzo ya BET, bali pia kujikusanyia utajiri mkubwa.
Kupitia Instagram, staa huyo ameuonesha mjengo wake wa kifahari wa Kampala na kuwaacha mashabiki wakiwa mdomo wazi.
0 comments:
Post a Comment