Friday, December 9, 2016


Picha ya muonekano wa tuzo katika Tuzo za EATV imeatolewa usiku wa kuamkia leo ambayo ndiyo atakabidhiwa msanii atakayeibuka mshindi katika kipengele husika.

Tuzo hiyo yenye muonekano wa kiganja chenye vidole vitano na rangi ya dhahabu, imepokelewa kwa shangwe na wasanii pamoja na mashabiki wao, huku wengi wakisubiri kwa hamu kujua nani tafanikiwa kuichukua kwa mara ya kwanza kwenye historia ya tuzo hizo Afrika Mashariki.

0 comments:

Post a Comment