Tuesday, December 20, 2016

Image may contain: 8 people, people smiling, people standing
Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande ameupongeza utaratibu wa Mkuu wa Mkoa Amos Makalla wa KUTENGA siku mbili katika mwezi kusikiliza Kero za wananchi na kushirikisha watendaji wa mahakama kuu, ofisi YA Image may contain: 1 person, sittingmwanasheria wa serikali, jeshi la polisi na taasisi zingine za serikaliAmesema utaratibu huu unasaidia mahakama na taasisi zingine kujitathmini na kutoa huduma kwa kiwango cha juuImage may contain: 5 people, people standing and suitImage may contain: 2 people, people sitting, suit and indoorImage may contain: 7 people, people standing and suit

0 comments:

Post a Comment