Wednesday, December 7, 2016

VISA vya msanii machachari anyejua kucheza na masikio pamoja na macho ya washabiki aibuka na jambo jipya ambalo ni la aibu.

msanii huyo ametumia stlye ya kila siku inayotumiwa na mastaa wengi bongo ya kuvujisha videos zao wanazokuwa kwenye hali ya faragha kabisa yeye na mpenzi wake mpya.
videos hiyo imevuja hivi karibuni na kusababisha mashabiki wa msanii huyo kuchoshwa na vitendo vyake.

0 comments:

Post a Comment