Posted by Williammalecela.com on Wednesday, December 07, 2016
 |
Bwana na Bibi Harusi Kibwana na Nuru, harusi inasadikiwa kufunika harusi zote za mwaka huu hapa mjini Bongo. Harusi hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Seacliff Masaki na kuhudhuriwa na wakali wote wa hapa mjini Bongo live!!
|
0 comments:
Post a Comment