Mapema leo tovuti nyingi zimeandika Tetesi za Kuhusu mwanamama mrembo Kim Kardashian kuachana na Mpenzi wake Kanye West.
Hii ni baada ya Tovuti ya Us Weekly kuripoti Jumatano hii kuwa Kim hana furaha ndani ya ndoa yake hivyo amepanga kudai talaka pindi Kanye atakaporudi kwenye hali yake ya kawaida.
Kanye West & Kim Kardashian
Chanzo kilizidi kwenda mbali nakusema kuwa mrembo huyo amepanga kufungua kesi hiyo ya kudai talaka pamoja na kupatiwa haki zote za malezi ya watoto wao wawili, North na Saint.
Kwa sasa Kanye West anaishi nyumba tofauti na mkewe Kim Kardashian na wanae.
Basi usifikirie tena hilo suala kwani, Good news ni kwamba wawili hao kupitia kwa mtu wao wa karibu kutoka kwenye familia yao, amesema wapo poa na ukimya wa Kim ni kwa ajili ya kumhudumia mumewe.
Tena ripota huyo kasema wapo kwenye mahaba mazito kwani Kanye anahitaji faraja kubwa hususani kwenye kipindi hiki cha ku’recover baada ya kutoka Hospitali.
0 comments:
Post a Comment