
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Taifa,Mhe Freeman Mbowe mapema leo amefunguka juu ya sakata la kupotea kwa Msaidizi wake Binafsi na kada wa Chama hiko Ben Saanane.
Mbowe akiwa mkoani Iringa amesema kuwa Chama kinashughulika juu ya kumtafuta na kufahamau mahali alipo Ben Saanane,zaidi tazama video hapo chini
0 comments:
Post a Comment