Waziri Mwigulu Nchemba ameongelea maiti 7 zilizookotwa Mto Ruvu
na pia agusia kuhusu kupotea kwa Ben Saanane wa CHADEMA. Asema yote yanafuatiliwa na Serikali.
Amesema maiti za Mto Ruvu huenda ni Wahamiaji Haramu, asema Ben Saanane ni rafiki yake wa karibu na anafuatilia suala Ben kama Serikali na kama rafiki.
"Ben is my personal friend (sio katika Siasa) tunakutana na kushirikiana mambo kila mara mpaka ya familia, namfahamu na anaifahamu familia yangu mpaka watoto wangu wanamfahamu. Nilimsaidia kura za maoni ndani ya chama chake, nimewasiliana naye mfululizo mpaka wiki hiyo hiyo. Unamwongelea rafiki yangu na ndugu yangu wa ndani, na sasa nafuatilia kama serikali na kama rafiki." Amesema Mwigulu.

0 comments:
Post a Comment