Kangu Hu akiopolewa
Duniani
kuna mambo, kuna vibweka na vibwakuro pia , twende sawa,Kang Hu, mwenye
umri wa miaka 33,
aliwashtua wageni waalikwa siku ya harusi yake, pale alipoamua kuwaomba radhi wakiwemo familia yake na bi harusi Na Sung,mwenye umri wa miaka 30,kwa kumwambia dhahiri shahiri kuwa ana sura mbaya na hafai kuolewa.
aliwashtua wageni waalikwa siku ya harusi yake, pale alipoamua kuwaomba radhi wakiwemo familia yake na bi harusi Na Sung,mwenye umri wa miaka 30,kwa kumwambia dhahiri shahiri kuwa ana sura mbaya na hafai kuolewa.
Bwa harusi akiopolewa
Bwana
harusi harusi huyo alichanganyikiwa mara baada tu ya kumwona bi harusi
wake kwa mara ya kwanza na kujaribu kujitosa majini.
Mara
akaamua kutoka eneo la tukio, kwenye ukumbi wa sherehe katika mji wa
Shiyan mji ulioko nchini China jimbo la Hubei na baadaye alioneka
akitembea kando ya mto akiwa na mawazo meeengi,mto ambao alijirusha
ndaniye mara moja.
Bwana harusi amekwisha opolewa,hoi tepe tepe.
Pal
Chan Wang alisema kwamba : familia ya bi harusi ilivurugikiwa,familia
ikashikwa na ghadhabu,na familia ya mwanaume yao ikafura na marafiki
zake walifadhaika mnoo kwa matamshi yake .
Kang
alikuwa na uchaguzi wa bi harusi amtakaye na alikuwa akilazimishwa
kumuoa bi harusi huyo, ndo alipoamua kumfanyia kituko hicho.
Wapiti njia ndio waliomgundua Kang mtoni ndipo walipowaita polisi na kuharakisha kushuka mtoni kumuopoa.
Askari wakiwa mtoni tayari kumuopoa bwana harusi.
Qan
Tsui, mwenye umri wa miaka25, yeye ndiye aliyepiga picha hizi anaeleza
kwamba bwana harusi huyo alipojitosa mtoni alikuwa na nguo zake zote na
alikuwa akielea uso ukiwa unaelekea chini kwenye maji,akiwa hajiwezi na
mara nikasema anaweza kufa asipopata msaada wa haraka.
polisi
walipowasili eneo la tukio,mmoja wao alijitosa mtoni na kumdaka mara
moja,na mwingine aliwarushia Kamba ili wamvutie nje ya maji ya mto huo
baadaye wamtoe maji yaliyoko kifuani.
0 comments:
Post a Comment