Friday, December 9, 2016

Mitandao na vyambo vingi vya habari dunia viliandika kwamba mvua ya samaki imenyesha huku thailand,
wengine waliamini na wengi wamekuwa na maswali kwamba kama ni mvua ya samaki kwa nini samaki hao wako barabarani tu? Wengine pia wamesema kwamba ni upepo wa kimbunga ndo umewatoa samaki hao majini na kuwatupa nchi kavu. Kwa upande wako unadhani ni nini?


0 comments:

Post a Comment