Wednesday, December 14, 2016

 
Ikiwa ni mwezi mmoja toka msanii wa muziki, Nuh Mziwanda afunge ndoa na binti Nawal, wiki hii wameonyesha picha zinazomuonyesha mke wake huyo akiwa ni mjamzito.
Hii ni habari njema kwa mashabiki wa muimbaji huyo wa wimbo Jike Shupa ambaye kabla ya kuingia kwenye mahusiano na mke wake huyo alikuwa kwenye mahusiano na msanii mwenzie, Shilole.

Kati yao hakuna aliyeweka wazi kuhusu ujauzito huo, lakini waliamua kutoa taarifa hizo kupitia picha mbalimbali kupitia mitandao yao ya kijamii. Angalia picha zaidi.



0 comments:

Post a Comment