Wednesday, December 21, 2016

Image may contain: 1 personAiiagiza Kamati YA Ulinzi na usalama kufanya sensa YA mifugo na wilaya kuwa mpango wa matumizi bora YA Ardhi
- Awaonya watendaji wa Vijiji na wanasiasa wanaoshiriki kupokea mifugo Image may contain: 20 people, people standing and crowd
- AMPONGEZA mbunge kwa kuchangia mabati 400 kwa ajili YA ujenzi wa vyoo mashuleni 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amehaidi kuvalia njuga na kukomesha tatizo la uingizaji holela wilaya YA Mbarali na kusababisha migogoro YA wakulima na wafugajiImage may contain: 4 people, people standing
Hayo aneyasema leo katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero katika kata YA Ubaruku wilaya YA Mbarali na kuiagiza Kamati YA ulinzi na usalama kwa kushirikiana na mkurugenzi wa HALMASHAURI YA Mbarali kufanya sensa YA mifugo iliyoopo na kuwa na matumizi bora YA Ardhi Image may contain: 8 people, people standing
Baada YA sensa udhibiti wa mifugo utafanyika na Vijiji kuwa na matumizi Nora YA Ardhi viti Vijiji vyao
Aidha amehaidi kushughulikia Mgogoro wa mipaka KAti ya wananchi na kampuni YA Highlands kwa kushirikisha Vijiji vyote jirani na muekezajiImage may contain: 1 personImage may contain: 10 people, people sittingImage may contain: 4 people, people standingImage may contain: 15 people, people standing and crowd

0 comments:

Post a Comment